Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Wadau JF,
Naamini mmeuanza mwaka vizuri mkiwa wazima wa afya njema.
Nahitaji kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya familia na sehemu nyingine ibaki.Kiwanja kiwe HALALI na kimepimwa kipo kwenye ramani ya Mipango miji,kiwe kinafikika kwa urahisi,kiwe maeneo ya Kange,Pongwe,Mikanjuni,Mabawa,Kisosora,Mwakidila,Mwahako,Magomeni nk.Sihitaji kiwanja kilichopo City Centre,kwa kuwa sina pesa ya kutosha.
Kama una kiwanja maeneo tajwa hapo juu na unakiuza,tafadhali nitumie maelezo yake ikiwemo UKUBWA,eneo kilipo,MMILIKI NA BEI YAKE.
Tafadhali kama wewe ni DALALI usinipe details zozote,sitafanya biashara za DALALI.
Unaweza kuni PM au kutoa maelezo hapa hapa jukwaani.
Asanteni sana.!