Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jan 5, 2018 #1 Kichwa cha habari kinahusika. kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za watoto...vyuma takwimu. Thanks
Kichwa cha habari kinahusika. kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za watoto...vyuma takwimu. Thanks
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jan 6, 2018 Thread starter #2 mmegoma?
chamlungu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 326 Reaction score 339 Jan 6, 2018 #3 Kwa uzoefu wangu, huwezi kupata Kiwanja cha aina hiyo kwa hiyo bei, labda kama hakijapimwa