Natafuta kiwanja nipo Dodoma

Natafuta kiwanja nipo Dodoma

nazahati

Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
81
Reaction score
32
wana JF ninahitaji kiwanja npo Dodoma kisiwe mbaalu sana na mji
 
Kuwa .makini usije ukapigwa.viwanja vipo lkn ni vya kununua vocha kwa wamiliki baadae hati ikitoka inatoka kqa jina lako,hapo uwe makini sana nenda kaone kiwanja then b4 payment chukua mtu wa CDA akakupimie kiwanja chenyewe ,kama kitakuwa hakuna utata hapo nunua .nitakupatia namba ya jamaa baadae utampigia yupo DODOMA.
 
Saaawa mkuuuu asante kwa ushauri naomba ni Pm namba yake Mkuu
 
0655687530,
0755687530
Ni dalali gwiji wa maswala ya viwanja, gari, mke nk hapo mkoani Dodoma, emu mcheck atakusaidia,
Mm alinitafutia eneo huku Kikuyu na ndo napoishi mpk leo
 
Ninapagale nauza hapo Dodoma, lipo NTYUKA karibu na hospitality ya DCMC,tuwasiliane 0754711158
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom