Natafuta kiwanja, nina Milioni 5

Natafuta kiwanja, nina Milioni 5

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,622
Reaction score
2,220
Wana jamvi.
Nina cash shilingi Milioni 5, natafuta kiwanja hapa Dar es salaam.
Interested sellers please inbox.
 
Wana jamvi.
Nina cash shilingi Milioni 5, natafuta kiwanja hapa Dar es salaam.
Interested sellers please inbox.



Ongeza 1m nikupe kiwanja kizuri Salasala kinzudi-Kata ya Goba sqr mita 420
 
ongeza 4m nkupe tabata segerea maeneo ya kwa bibi ni km 700m kutoka barabara ya kwenda segerea mwisho
 
Wana jamvi.
Nina cash shilingi Milioni 5, natafuta kiwanja hapa Dar es salaam.
Interested sellers please inbox.
Asante.
Vipi umeshafanikiwa kupata kiwanja? Kama bado na malengo yapo palepale basi wasiliana na sisi kupitia namba 0717314500 jitambulishe na eleza shida yako utashughulikiwa.
 
Kuna nyumba naiuza iko kongowe kibaha ,mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba hizi 0783722292 au 0766466462
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom