Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Kiwanja hicho kisizidi 1.5 milioni namba yangu njoo pm
Kama unataka nje kidogo ya musoma mjini mkuu nikupe contact. Musoma ni ndogo sana! Maeneo ya Nyabange utapata.
Iko hapo juu hiyo ya tigo
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/727341-kiwanja-kinauzwa-musoma.htmlWakuu Mimi natafuta maeneo ya nyamatare bajeti yangu ni Milioni tano. (5M)