natafuta kiwanja morogoro

abdul_eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
787
Reaction score
761
habari zenu wakuu?

naombeni msaada nataka nianze maisha sasa kwaio nahitaji kiwanja. Maeneo tajwa na maeneo mengine ambayo bei iko nzuri. bei yoyote tuu lakin isizidi mil 6.

kama una deal au una njia kunirahisishia basi niPM




wasaaaalam
 
kwa bei hiyo na maeneo hayo, utaendelea kutafuta sana!! Kama upo moro hebu wape madalali jiyo kazi
 
Mimi ninacho kipo eneo linaitwa Lugala kinaukubwa wa 70x50: bei ni 3M kama upo tayari nipm namba nikupigie kesho asubuhi.
 
Mimi ninacho kipo eneo linaitwa Lugala kinaukubwa wa 70x50: bei ni 3M kama upo tayari nipm namba nikupigie kesho asubuhi.

Lugala ndio ipo upande upi wa Morogoro? jaribu kunipa maeneo yaliyopakana ambayo ni maarufu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…