Natafuta kiwanja Morogoro mjini

Natafuta kiwanja Morogoro mjini

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
312
Wasalaam wakuu,

Natafuta kiwanja moro mjini cha kawaida tu nijenge kibanda cha kuishi maana nimechoka kupanga bajeti yangu ni 1.8-2mill.

Nitashukuru sana kama nitasaidiwa kupata hicho kiwanja
 
Mnavyoongea kama mnafanya kazi wizara ya ardhi bila hata research wala fact zozote mlizonazo au moro mjini mnaijua msamvu tu?
Kwa 2M moro mjini kiwanja unapata bila stress.

Lukobe na makunganya kwenyewe hupati wewe unasema Moro mjini😁
 
Tatizo hata maelezo yako yanaonesha morogoro huijui unaongea makunganya mkundi tu apo vipo kibao kwa bei hyo au unaposikia kiwanja unajua ni hekari tu?
Hata robo unajenga mjengo wa maana tu
 
Mnavyoongea kama mnafanya kazi wizara ya ardhi bila hata research wala fact zozote mlizonazo au moro mjini mnaijua msamvu tu?
Kwa 2M moro mjini kiwanja unapata bila stress.
Hata kwa chamwino 2m hapati kiwanja. Manispaa yenyewe wanauza 5,000/= kwa kila square meter moja
 
Kuna mtu ameniambia ana ndugu yake maeneo ya Mkundi Nguvu kazi anauza kiwanja chake eneo ni kama 20m kwa 25m na anauza kwa 2.5.....

Kama uko serious and interested let me know ili nimuombe mawasiliano mwenye kiwanja nikupatie uende mwenyewe ukaangalie na u-negotiate nae....
 
bado ndugu yako ana kiwanja huko.mkundi? weka contacts zake hapa
 
Kuna mtu ameniambia ana ndugu yake maeneo ya Mkundi Nguvu kazi anauza kiwanja chake eneo ni kama 20m kwa 25m na anauza kwa 2.5.....

Kama uko serious and interested let me know ili nimuombe mawasiliano mwenye kiwanja nikupatie uende mwenyewe ukaangalie na u-negotiate nae....
Kimepimwa na kuna hati
 
Back
Top Bottom