Natafuta Kiwanja maeneo ya Tabata Kisukuru/Tabata Kimanga

Natafuta Kiwanja maeneo ya Tabata Kisukuru/Tabata Kimanga

Mahmetkid

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
732
Reaction score
444
Wakuu kama mwenye kiwanja maeneo ya tabata kisukuru au tabata kimanga.
Ukubwa 25mX35m, offer Million 7
Mwenyenacho anipm.
 
Dogo naona umeamua, hongera sana.
Bukoba si mpango, ungejenga Bongo kwanza.
 
Wakuu kama mwenye kiwanja maeneo ya tabata kisukuru au tabata kimanga.
Ukubwa 25mX35m, offer Million 7
Mwenyenacho anipm.

Wasiliana na shemeji yangu anacho 0754 278 663

Hamna dalali hapo

All the best
 
Wasiliana na shemeji yangu anacho 0754 278 663

Hamna dalali hapo

All the best

Thanx Mahoma, nimewasiliana naye, japo ameanza kwa fedha ndefu ila najua tutafikia muhafaka
 
Back
Top Bottom