Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

Wakashina

Senior Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
134
Reaction score
23
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake
 
Mkuu vipi maeneo ya huku boko, me nnacho kama unahitaji ni PM
 
huko mbali mkuu, nahitaji huko kwa kuwa ni karibu na vibanda vyangu vya biashara, pia bajeti yangu c nyingi kama ulivyoona hapo juu
 
Kwa kitunda, ongeza kidogo bajeti, at least 5m. Siku hizi kumebadilika sana, viwanja vimepanda bei.

kwa hiyo mkuu siwezi pia pata mbele kidogo ya hapo kwa hiyo bei
 
May be!
Barabara ya Banana- Msongola inapanuliwa ili iunganishe na ile ya Chanika-Mbagala. Nyumba za kubomolewa kwa ajili ya upanizi zishalipwa, watu wameona upanuzi huo ni fursa, hivyo wameongeza bei za viwanja. Kupata kiwanja mbele ya Kitunda inawezekana, ila kitakuwa kidogo kiaina.
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu, kama unachaziada usisite kunijuza, niko tayari kwa huko mbele ya kitunda
 
Mkuu vipi maeneo ya huku boko, me nnacho kama unahitaji ni PM
Mkuu boko sehemu gani?toa maelezo kidgo ya kujitosheleza kuhusu kiwanja na weka mawasiliano pia mkuu kwa faida ya wengi
 
Chakenge ndo wapi mkuu?
ukishafika kivule mwisho uliza chakenge magengeni pako pouwa sana ki mazingira pia serikali ina mpango pia wakujenga hospitali ya wilaya ya ilala na amana kuwa ya rufaa/ya mkoa wametenga eneo kubwa kule
 
Ahsante kwa taarifa mkuu.....
 
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake

ulishakipata mkuu?mm ninacho kivule magole 23x27....ila dau ni 3.5 mil ila unaeza kulipa mpaka kwa awamu tatu(0755236357)
 
Mkuu mi nipo tayari kwa hicho kiwanja.Hizo ni mita au miguu.Ila nipo tayari kwa awamu.Vp kipo maeneo ya namna gani, tambarare, cio kwenye bonde.Je huko magole unavuka lile bonde watu wanalima au.Mi cpajui vizuri huko.
Nawasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom