Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 321
Bado unahitaji kiwanja goba...?Habari wana JF
Natafuta kiwanja eneo la Goba Dar es Salaam chenye ukubwa wa medium au low density, pia kisiwe kwenye mwinuko mkali. Mwenye kuwa nacho anipm pamoja na bei anayokiuza
Natanguliza shukrani
Bado unahitaji kiwanja..?charger poa nakuchek
Una kiwanja sehemu ipi ?Bado unahitaji kiwanja..?
Wewe unacho? Leta bei yakoBado unahitaji kiwanja..?
Ml 6Wewe unacho? Leta bei yako
Sehemu gani goba?Ml 6
Unaingilia njia Panda Kwa beduiSehemu gani goba?
Bado kipo?Unaingilia njia Panda Kwa bedui
Ninacho bado sijakiuza
Unaingilia njia Panda Kwa bedui
Ninacho bado sijakiuza