Natafuta Kiwanja maeneo ya fuatayo: Mbezi beach Barabara ya Bagamoyo road.

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Natafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
 
Offer yako tsh. Ngapi, wengine wakazi wa hayo maeneo tunaweza sikia MTU anauza, maana watu wametumbuliwa now hawana hela
 
Natafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
Kuna kiwanja kipo mbweni malindi ukubwa ni 70 Kwa 50 Kiufupi ni viwanja viwili kwa kimoja na kimoja kati ya hivyo kina hati...Bei ni Milioni 250 Maongezi yapo ukiwa tayari ni PM
 
Natafuta Kiwanja kuanzia Mbezi Tangi bovu mpaka Tegeta Barabara ya Bagamoyo pigs simu Na.0658334403 taja bei Na ukubwa.
Njoo boko upate kiwanja kizuri kimezunguushiwa fensi na mbele ya uwanja kuna frem ambazo hazijaisha ukinunua unapewa na frem zake barabara ni nzuri kama ya mwendo kasi uwanja una sqm 900 unauzwa 50 milioni. Ukishawishika # 0712464777
1467175525842.jpg
1467175550178.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom