mkuu mi nina viwanja 2 bagamoyo mjiini vimepimwa na kingine kipo hapo mikocheni kwa mwalimu labda tutashindana kwenye hiyo budget yako . vyangu kuna sqm 1200 kinataka 25m, kina hati labda nikutafutie ambacho hakijapimwa unaweza nicheki kwenye 0755099 291
Hicho cha mikocheni ni cha ukubwa gani na bei ikoje?