Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji wa kule akaniambia usije ukanunua sehemu hizo
sasa naomba nipate kiwanja ambacho kina hati na isizidi milion 6
naomba msaada
mnatuchukia bure madalali sasa kiwanja chenye hati kigamboni kwa 6m? sijui cha ukubwa gani na sehemu gani kigamboni? kuna kiwanja cha sqm 380 kipo mwanzo mgumu ni km 25 toka feri kimepimwa na kina offer bei 5m. kama uko tayari nitafute uje uone ramani yake na ukutane na mmiliki mumalize biashara
mashamba yapo mkuu tuwasilineDalali mi natafuta shamba la ekari kama kumi huko kigamboni. Ila nataka liwe nje ya mji kabisa. Nataka kuishi huko mwenyewe, majirani sitaki
mashamba yapo mkuu tuwasiline
Mimi sio dalali ila nafahamu maeneo ambayo unaweza kupata mashamba mazuri na mazao yote yanastawi ya chakula na biashara na unaweza kufuga mifugo yoyote. 0787232292Dalali mi natafuta shamba la ekari kama kumi huko kigamboni. Ila nataka liwe nje ya mji kabisa. Nataka kuishi huko mwenyewe, majirani sitaki
Mimi nataka Tuangoma.
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji wa kule akaniambia usije ukanunua sehemu hizo
sasa naomba nipate kiwanja ambacho kina hati na isizidi milion 6
naomba msaada
Chenye hati Milion 6 labda uende Same au Ugweno ndiko utapata. Kigamboni no way, utatapeliwa tu mkuu.
Mwambie huyu maana mbishi kweli,kiwanja cha kisasa lzm kiwe kikubwa ambacho unaweza kujenga nyumba na kupata sehemu ya garden,parking,makalo etc sasa kwa bei hyo labda ubena zomozi au mdaula,goba,mabebwande,,magubike Rasikutani au mwembe mdogo pemba mnazi.