M Makunga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 771 Reaction score 551 Oct 13, 2014 #1 Habari zenu wapendwa, Ninatafuta kiwanja Kahama, nahitaji heka moja nje kidogo ya mji maeneo kama ya Kahama sekondari au popote lakini pasiwe town kati. Pawe na access ya maji na umeme. Kwa alie na kiwanja, tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Habari zenu wapendwa, Ninatafuta kiwanja Kahama, nahitaji heka moja nje kidogo ya mji maeneo kama ya Kahama sekondari au popote lakini pasiwe town kati. Pawe na access ya maji na umeme. Kwa alie na kiwanja, tuwasiliane kwa pm tafadhali.