Natafuta kiwanja Goba

Wahitaji wenyewe wa viwanja wanamipasho hao kama Isha Mashauzi
 
Shida humu wapigaji wengi mno!!
 
Kuna jamaa yangu ana eneo kubwa km hujapata nikuunganishe. Eneo lipo goba container. Ni mwenye mali na hata mimi nilinunua kwake
 
Sawa supu ya mawe kweli matapeli wapo humu jf nimeshawauzia watu viwanja mpk vya mil 50 na kadhalika na sijawahi pata taarifa zozote zile kama nimeshawahi mtapeli mtu yyte.

Hata mm umeniuzia bunju mkuu, hali shwari hakijanuka. Ukweli niseme tu
 
kama siyo Mussa atakuwa Saidi
 
Mkuu kipo kiwanja Makongo Juu lakini kipo bondeni barabara inafika kizuri kwa utensil wa ghorofa. Ni pm nitakupa details bei ni 40m -50m.
 
Kuna jamaa yangu ana eneo kubwa km hujapata nikuunganishe. Eneo lipo goba container. Ni mwenye mali na hata mimi nilinunua kwake
asante sana mkuu, huyo mwenye mali bei yake anauza sh ngapi? kwa kutumia uzoefu wa alivyokuuzia wewe
 
Mkuu kipo kiwanja Makongo Juu lakini kipo bondeni barabara inafika kizuri kwa utensil wa ghorofa. Ni pm nitakupa details bei ni 40m -50m.
asante sana Pakawa, nimeamua kwenda kuishi goba na si kwingineko.
 
Nna kiwanja 20 kwa 20 goba kinzudi umeme umepita barabara ipo, bei ni milion 15 no negotiation
 
Nna kiwanja 20 kwa 20 goba kinzudi umeme umepita barabara ipo, bei ni milion 15 no negotiation
hahahaha,,,,,,, sqm 1000 wanauza kati ya mil 20 we na kiwanja chako cha kujengea choo unauza 15 m, ina maana wewe ungkuwa na na sqm 100 ungeuza 40m bei ambayo unapata kiwanja makongo juu cha sqm hizo hizo. Subiri mwaka 2079 ndio utauza kwa bei hiyo mkuu
 
Mkuu google ''kiwanja kinauzwa goba''
 
Ka hutak unasepa, mi naringa eneo langu la ukwel, majiran zangu mabangaroo tuu, sasa kumbe ww unataka kujenga kinyumba kama choo, simihuzii maskin hali ya mnunuaji iwe nzuri sitak masikin uje kutuchafulia mtaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…