Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
kwenye PM umesema wewe ni mmliki wa kiwanja hicho hapa unasema kiwanja cha jirani yako, hueleweki mbona ndiomaana sipendi biashara za siri siriKuna jirani yangu ndio mmiliki wa hiko kiwanja nimeshakiona bahati mbaya picha zake sina coz nimebadili cm kubwa wa nusu heka.
nimepitia thread zako inaonyesha wewe ni dalali, asante kwa ushirikiano anywayKiwanja kinaukubwa wa nusu kuka
Asante kwa ushauri mkuu, mi nataka goba, makongo juu au changanyikeniHuwe makini mimi mwenyewe mpaka leo ninatafuta kiwanja lakini nimeamua kulifanya taratibu.
Sawa supu ya mawe kweli matapeli wapo humu jf nimeshawauzia watu viwanja mpk vya mil 50 na kadhalika na sijawahi pata taarifa zozote zile kama nimeshawahi mtapeli mtu yyte.
Asante kwa ushauri mkuu, mi nataka goba, makongo juu au changanyikeni
Natafuta kiwanja Goba chenye ukubwa wa meters kati ya 1500-2000.Kama kipo niambie kipo Goba sehemu gani, kina ukubwa wake halisi na bei yake hapa hapa jukwaani kabla hatujaingia PM.
NB: Ukubwa wa kiwanja na bei yake ni lazima zitajwe hapa wazi, biashara za kujificha ficha huwa sizitaki.
Asante.
kunamatapeli sana kwenye hizi biashara za humu. kunajamaa niliona tangazo lake kwenye mtandao wa ujenzi zone. tukakubaliana kuonana huko goba kulangwa karibu na madale. Tukaonana akanionesha kiwanja na document za serikali ya mtaa. Na siku hiyo alikuwa na kanjanja mmoja aliyejidai kiongozi wa serikali ya mtaa. Siku ya kulipana tukakubaliana tukutane saa nane mchana. Mimi nikaenda hasubuhi nikafika serikali ya mtaa nikawaeleza. Wakaniambia huyo jamaa anayejidai kiongozi wa serikali ya mtaa ni uongozi uliopita ambao walikuwa mafisadi sana na wamesha waliza watu wengi. Tukaingia mtaani kuwatafuta wajumbe ili tufanye utafiti wa nani mmiliki wa eneo husika. tukafuatilia majirani na watu wanaofahamu. tukaja kugundua mmiliki ni Dr. mmoja wa mlimani. Jamaa alivyo kuja nikamwambia nipo serikali za mtaa akaingia mitini. Nikipiga sm hapokei.
we una viwanja mkuu? wewe ni mmiliki au dalali?Bado hujapata kiwanja? Ninadhani naweza kukusaidia