Natafuta kiwanja eneo la Majohe

Natafuta kiwanja eneo la Majohe

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
60
Reaction score
48
Salaam wote!
Napenda kuomba yeyote mwenye kiwanja au taarifa ya kiwanja eneo la Majohe ambacho kinauzwa anijuze kwani nahitaji, kiwe na ukubwa kuanzia 30" kwa 30" au zaidi.
Asanteni.
 
Mkuu nina Ndugu yangu Yupo Maeneo Ya Kibiti Vip Nikutafutie Huko Maeneo Bei Poa Kabisa
 
Salaam wote!
Napenda kuomba yeyote mwenye kiwanja au taarifa ya kiwanja eneo la Majohe ambacho kinauzwa anijuze kwani nahitaji, kiwe na ukubwa kuanzia 30" kwa 30" au zaidi.
Asanteni.
Mkuu umepata hicho kiwanja ni pm maelezo yako unataka kiwe na sifa gani za ziada na offer yako ni ngapi nina waenyeji maeneo hayo
 
Kisiwe na mgogoro kwa jamii, Offer inategemeana na eneo husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom