Natafuta kiwanja Dodoma

Canto

Senior Member
Sep 27, 2014
110
41
Mwenye kiwanja Dodoma mjini kuanzia sq.m 1000, maeneo ya njedengwa au ilazo. Kiwe tambarare
Dalali sihitaji, makubaliano kati yangu na muuzaji mwenye kiwanja
 
Andika vizuri hicho kima cha pesa, ndo shilingi ngapi hiyo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom