Natafuta kiwanja Dodoma mjini

Natafuta kiwanja Dodoma mjini

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
8,787
Reaction score
6,542
Natafuta kiwanja Dodoma mjini maeneo ya kisasa au mwangaza kuwe na huduma za kijamii kwa maana ya barabara, maji na umeme

Kisipungue 1500sqm au viwe viwili vinavyopakana vyenye ukubwa wa 900sqm @

Mwenye kujua ani pm
 
Mod nisaidieni kuedit title
 
Kama uko serious na una mtu dodoma tuwasiliane, kipo dodoma makulu njiani kuelekea udom.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom