Roosevelt22
Member
- Sep 28, 2022
- 11
- 11
Acha kumdanganya mwenzio, 14m ndio ununue viwanja vitatu vya square meter 800???? Lamda sio Dar. Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa kwa square meter. Hiyo pesa ni ndogo sana.Hiyo bajeti yako ukiitumia vizur unaweza nunua viwanja vitatu vikubwa sehemu mbali mbali hapa DSM na ikabaki hela ya kufuatilia hati miliki kutoka wizarani
Note:
1)Hakikisha viwanja unavyonunua ni surveyed plots
2) usinunue kiwanja chini ya 800sq
3) Nunua kwa makampuni ya real estate na Hakikisha wao ndo watafuatilia hati miliki ya wizara itakua rahisi kwako
4) Siku ingine ukiwa unataka kiwanja usitangulize offer yako coz ni rahisi sana kuuziwa eneo lisilo endana na thamani ya pesa utakayoitoa, Jenga utamaduni wa kufanya research kabla hujafanya maamuzi
Ukijibiwa ni tag mkuuNahitaji kiwanja GOBA mwenye kiwanja cha ukubwa 800sqm-1000sqm anicheki tufanye biashara
Ahsante
kipo mbezi luguruni karibia na ofisi za manispaa ya ubungo sqm 1200. karibu +255 785 335 350Nahitaji kiwanja GOBA mwenye kiwanja cha ukubwa 800sqm-1000sqm anicheki tufanye biashara
Ahsante
Kipo sehem gabi na ukubwa mkuu?View attachment 2665123
hicho hapo mil 14
Kipo sehem gabi na ukubwa mkuu?
Muhimbili ipi ya kigamboni au hii ya upanga?NAHITAJI KIWANJA KARIBU NA MUHIMBILI
KAMA YUPO ANACHO kianzie ukubwa wa 30*20 na kuendelea
Njoo kigamboni somangila Mbutu kichangani kiwanja na nyumba yake 20*21 about 800sqm 11M umeme Maji uhakika 0759448927Wakuu habari za majukumu,
Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?