D DavidMoyes Member Joined Apr 22, 2014 Posts 52 Reaction score 15 Apr 26, 2014 #1 Wadau nasaka kiwanja hapa Dar kwa bajeti tajwa hapo juu. Maeneo Kigamboni,Chanika,bunju au popote ambapo nitaridhika napo. Kwa mwenye nacho naomba ani PM,akieleza eneo kilipo,ukubwa wake (UREFxUPANA) na ukaribu wake na barabara/umeme etc.
Wadau nasaka kiwanja hapa Dar kwa bajeti tajwa hapo juu. Maeneo Kigamboni,Chanika,bunju au popote ambapo nitaridhika napo. Kwa mwenye nacho naomba ani PM,akieleza eneo kilipo,ukubwa wake (UREFxUPANA) na ukaribu wake na barabara/umeme etc.
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,101 Reaction score 441 Apr 26, 2014 #2 kaka huko hupati bora uende bagamoyo bei poa na utapata zaidi ya heka
joss1973 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 405 Reaction score 103 Apr 27, 2014 #3 tuwacliane kaka kipo chanika .contact 0713 95 92 90