Natafuta kiwanja cha tsh 1M Kibaha

Natafuta kiwanja cha tsh 1M Kibaha

mwakifamba

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
47
Reaction score
15
Habari.

Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa.

Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
 
mkuranga kipo, kipo mkuranga mjini, lakini kinaitajika 1.5 milion, ukubwa ni sq 500
 
Habari.

Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa.

Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
Kuna kiwanja ukubwa huo kipo kibaha misugusugu (Check point ya TRA) ,ila kinaanzia 1.8 milioni. Kwa viwanja vya kibaha check kwa 0713039875
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom