20×20mHabari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!
Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini hivyo).
Ana shida ya kiwanja kwa Mkoa wa dsm..kiwanja ambacho anaweza akaanza ujenzi wa haraka zaidi na kuweza kuishi na familia yake!
Amelenga kuwe na huduma za jamii shule Hosp usafiri n.k
Je anaweza kupata maeneo gani na kwa bei gani?
Karibuni Niko makini kusoma mawazo/michango yenu! Natanguliza shukrani
Mkuu PM viwanja vipo kuanzia 3m mpaka 300m maeneo ya kigamboni.Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!