Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida Dar

Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida Dar

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni kwa ushauri
 
Mlandizi unaenda? kama ndiyo niambie kuna kiwanja cha ukubwa karibu ekari moja kwa mil 1.5
 
Umeishatuibia sasa unatafuta kubadili pesa iwe matofali, rudisha hela za watu unafanya kazi gani hadi ununue kiwanja wewe?? Natania waTZ wote vibaka tu
 
Bagamoyo vipo ila hiyo hela yako times 2
 
kigamboni unapata robo eka (35*35), 30km kutoka feri. na unajua kuna daraja jipya. so it will be very convenience kwako
 
Back
Top Bottom