milionea wa kesho JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 328 Reaction score 633 Oct 14, 2019 #1 Habari wakuu. Natafuta kiwanja nje kidogo ya jiji la Dodoma at least kilomita 15 kutoka mjini. Kiwe kimepimwa na ukubwa wake ukiwA 40x40 itapendeza zaidi. Nimesema nje kidogo ya jiji kwa unafuu wa bei na pia itafaa kwa project zangu.
Habari wakuu. Natafuta kiwanja nje kidogo ya jiji la Dodoma at least kilomita 15 kutoka mjini. Kiwe kimepimwa na ukubwa wake ukiwA 40x40 itapendeza zaidi. Nimesema nje kidogo ya jiji kwa unafuu wa bei na pia itafaa kwa project zangu.
R rmjusi Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 157 Reaction score 167 Oct 14, 2019 #2 nenda jiji lipa 25000 kuna viwanja vya kila aina haina haja ya kutafuta madalali siku hizi hapa Dom ahsante
nenda jiji lipa 25000 kuna viwanja vya kila aina haina haja ya kutafuta madalali siku hizi hapa Dom ahsante
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,893 Reaction score 27,538 Oct 14, 2019 #3 Karibu makao makuu...