Natafuta kiwanja au eneo la wazi

Natafuta kiwanja au eneo la wazi

Sibaru

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
47
Reaction score
45
Natafuta kiwanja cha wazi cha kupanga au eneo liliowazi kwa ajili ya kufanyia biashara ya mbao inaweza kuwa hata mbele ya nyumba, maeneo ya kigamboni visiwani centre, Ngoma au kinyerezi. Mawasiliano 0762282526
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom