Natafuta kiwanja Arusha

Natafuta kiwanja Arusha

Karimu123

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
243
Reaction score
114
Habari wakuu

Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Ngulelo mpaka kwa pole kiwa kina ukubwa kunzia mita 25 kwa upana na urefu kuanzia 30 hata na zaidi pia liwe eneo linalofaa kuongeza endapo siku nitahitaji nina 7mil cash.
 
Huwezi kupata kwa bei hiyo. Andaa kuanzia 16M ndo bei zilizopo kwa size na maeneo hayo.
Mwenyewe natafuta maeneo uliyosema ukipata nishtue nami.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom