Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.
Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.
Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.
Naomba msaada wako

mkuu sija kuelewa 640 kwa 640... nini hii? mita, foot, miguu?
Ninacho Njiro na Sekei kama msuli mnene nicheck nikupeleke ukavione....Sqm 1200 na 1500 respectively.Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.
Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.
Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.
Naomba msaada wako
Ninacho Njiro na Sekei kama msuli mnene nicheck nikupeleke ukavione....Sqm 1200 na 1500 respectively.
Ungequote na pilote price mkuu ili tupate picha. Au price per squire metre ingekuwa poa sanaNinacho Njiro na Sekei kama msuli mnene nicheck nikupeleke ukavione....Sqm 1200 na 1500 respectively.
Tsh 25,000/=Ungequote na pilote price mkuu ili tupate picha. Au price per squire metre ingekuwa poa sana
mkuu sija kuelewa 640 kwa 640... nini hii? mita, foot, miguu?
Unafika kisongo??Nenda eneo la mateves karibu na safari city kunaviwanja vingi sana na ni km2 toka barabara kuu ya arusha babati
Sent using Jamii Forums mobile app