Wakuu natafuta kama kuna mtu anafahamu kiwanda kidogo cha maji ( bottled water) chochote ambacho kimesimamaisha au mmiliki wa kiwanda cha maji ambaye amesimamisha production kutokana na changamoto za biashara na anahitaji kuungana na mwekezaji au kuuza kiwanda chake anicheki pm
Itapenda zaidi kiwanda location take Iwe Moshi kilimanjaro kiwekinategemea maji yanayotoka mlimani ( springs za Kilimanjaro)
Awe anamiliki leseni na certification zote (haijalishi kama zimeisha muda wake we can renew)
Asanteni