rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,122 Reaction score 1,313 Mar 22, 2020 #1 Habari zenu wakuu humu ndani samahani naomba kwa yeyote mwenye kujua kiwanda au viwanda vinavyosaga unga wa dengu kwa dar es Salam anisaidie kunifahamisha nilikuwa nashida napo. natanguliza shukran zangu kwenu asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu humu ndani samahani naomba kwa yeyote mwenye kujua kiwanda au viwanda vinavyosaga unga wa dengu kwa dar es Salam anisaidie kunifahamisha nilikuwa nashida napo. natanguliza shukran zangu kwenu asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,122 Reaction score 1,313 Aug 4, 2020 Thread starter #2 Sikufanikiwa mkuu ila bado nalima doctordrew said: Mkuu ulifanikiwa kupata kiwanda cha kusaga dengu? Click to expand...
Sikufanikiwa mkuu ila bado nalima doctordrew said: Mkuu ulifanikiwa kupata kiwanda cha kusaga dengu? Click to expand...