Natafuta kitanda nipo mbeya mjini

Kipo cha mbili kwa tisa mkuu
 
Endelea kutafuta mkuu,nimekiona kimepita hapa sasa hivi.
 
unataka cha humu JF au mbona vitanda kibao mtaani
 
Anataka used mkuu

Mbeya furniture za kumwaga
Vitanda vya chuma na mbao vyote vipo
Sema mdau anataka used kulingana na pochi yake ili amudu kununua
Mbeya vitanda shida kiasi hicho au unatafuta kitanda cha aina gani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…