Natafuta Kitanda cha mtoto

Natafuta Kitanda cha mtoto

M2 Makini

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
93
Reaction score
33
Habari,kwa yeyote anaeuza/anaefahamu wapi naweza kupata kitanda cha mtoto wa miaka 3 used/new kwa elfu 50 nahitaji tafadhari..
 
du! Jichangishe upate kipya mkuu. Kitanda cha mtoto used sio kizuri maana kuna spirit zinazoishi. unaweza kuhamishia kwa mwanao spirit kama za magonjwa, n.k
 
du! Jichangishe upate kipya mkuu. Kitanda cha mtoto used sio kizuri maana kuna spirit zinazoishi. unaweza kuhamishia kwa mwanao spirit kama za magonjwa, n.k
Ahsante mkuu nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom