Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Chonde, chonde ndugu yangu. Usije ukanunua Alfu Lela Ulela zilizochapishwa na Mkuki na Nyota. Ni feki zimeghoshiwa halafu hovyo kweli.
Kama lugha ya malkia inapanda basi ni heri uvi download kwenye neti, utapata original version halafu ni bure.

Weka link mkuuChonde, chonde ndugu yangu. Usije ukanunua Alfu Lela Ulela zilizochapishwa na Mkuki na Nyota. Ni feki zimeghoshiwa halafu hovyo kweli.
Kama lugha ya malkia inapanda basi ni heri uvi download kwenye neti, utapata original version halafu ni bure.
Nenda Mkuki na Nyota hapo Dar au duka la vitabu la serikali lipo samora karibu na sapna!
Nenda Uchumi Pale quality center