Natafuta kioo cha singsung inch 22 (LED)

Natafuta kioo cha singsung inch 22 (LED)

Nenda kwa mafundi tv watakupatia ama kukuuzia,Pili jaribu kwenda kwenye ofisi yao pale Kariakoo karibia na jengo la Mobile palza huenda wakawa nazo
 
Kioo cha led kina range 250k mpaka 300k..... So ni bora ukanunue mpya tuu
 
Mimi nahitaji kioo cha Tcl inch 48 mwenye nacho aje PM
 
Back
Top Bottom