don franco Senior Member Joined Jul 16, 2013 Posts 142 Reaction score 240 Jan 23, 2016 #1 Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks
Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Jan 23, 2016 #2 don franco said: Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks Click to expand... Nenda Kariakoo mtaa wa Aggrey, uliza fundi simu aitwae Adamu, atakuwekea, ana hivyo vioo.
don franco said: Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks Click to expand... Nenda Kariakoo mtaa wa Aggrey, uliza fundi simu aitwae Adamu, atakuwekea, ana hivyo vioo.
Mahmetkid JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 732 Reaction score 445 Jan 24, 2016 #3 Gharama yake kiasi gani?