Natafuta kioo cha flat Tv (SINGSUNG)

Natafuta kioo cha flat Tv (SINGSUNG)

TexasR

Member
Joined
Jan 31, 2017
Posts
67
Reaction score
92
Habari wadau,

Kama kuna mtu ana kioo cha tv ya flat singsung inch 21 tuonane,

Nipo Dar es Salaam.
 
Kila la kheri maana kupata kioo cha TV kazi na ukikipata bei yake unaweza amu ununue TV mpya unaweza kukuta tofauti yake nna kununua tv ni 80000.
Kuna mtu aliwahi niuzia kioo sema namba yake nimeipoteza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom