Habari zenu
Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika
Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
Au kama vp ukanunue ww kioo pale kko mtaa wa agrey afu utafute fundi wako cheap akuwekee tatizo la mafundi wa kko hawana ujuz wowote wanabadilisha kiujanja ujanja tu
Spea zipo mkuu. Wala huna haja ya kusema unatafuta. Maanake ni kwamba umetafuta ukakosa. Nenda sapna au kko. Kwa kariakoo mwenye spea nzuri anaitwa Rich yupo opposite na benk ya Akiba.