Natafuta kindle (ebook reader device)

Mzani

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
80
Reaction score
5
Salam wanajamii

Natafuta kifaa cha kusomea ebooks aina ya kindle. Kama kuna mtu anayo au anaweza kuipata, aniuzie.
Nimetafuta kwenye maduka hapa TZ nimekosa.
Kwa mawasiliano piga 0784 707789

Asante
 
Nunua amazon, hapa bongo sijaona. Mi nilinunua amazon wakaleta kwa dhl, ilichukua ka siku kumi tu.
Lakini pia unaweza kudownload kindle app ukaitumia, ila kuna few things hupati
 
Nunua amazon, hapa bongo sijaona. Mi nilinunua amazon wakaleta kwa dhl, ilichukua ka siku kumi tu.
Lakini pia unaweza kudownload kindle app ukaitumia, ila kuna few things hupati

Asante kwa ushauri mdau,
Najaribu kuangalia kama kuna watu ambao huwa wanaenda nje ya nchi, wanaweza wakanunua huko na kuja kuniuzia hapa TZ.

Asantel
 
Nunua amazon, hapa bongo sijaona. Mi nilinunua amazon wakaleta kwa dhl, ilichukua ka siku kumi tu.
Lakini pia unaweza kudownload kindle app ukaitumia, ila kuna few things hupati

Mkubwa Row we ulinunua version gani ya kindle na bei ulikuwa je? Tusaidie na ss tununue tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa Row we ulinunua version gani ya kindle na bei ulikuwa je? Tusaidie na ss tununue tafadhali

Mkuu hekimatele samahani sikupita huku siku nyingi.
Mi nilinunua zamani kidogo, Kindle 2nd Generation 6". Sikumbuki nililipa kiasi gani lakini haikufika USD 150. Kwa sasa kuna matoleo mapya mengi (kindle DX, Kindle fire, etc). Nimejaribu kucheki amazon unaweza kupata kwa USD 120 including courie delivery dar es salaam. Ukitaka yenye manjonjo zaidi au screen kubwa utalipa zaidi. Kindle - Best-Selling E-reader - Only $89
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…