NATAFUTA KINANDA (PIANO KEYBOARD) CHA KUNUNUA

NATAFUTA KINANDA (PIANO KEYBOARD) CHA KUNUNUA

Clemford

Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
63
Reaction score
91
Wadau natafuta kinanda cha kawaida cha muziki. Bajeti yangu ni shilingi 400,000. Naomba mwenye uwezo wa kusaidia tuwasiliane. Lengo ni kujifunza tu kuplay muziki na hivyo sihitaji kinanda chenye uwezo mkubwa kwa sasa.
 
Jombaa kinandaa kinaanzia million na pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom