Kama kichwa kinavyojieleza, mimi natafuta kijana makini wa kusimamia pool table chumba cha kuishi kipo maana watakuwa wanaishi Na kijana mwingine ambae yeye anasimamia sehemu nyingne ya ofisini ambayo haihusiani Na pool table.
Kila lakheri mkuu, sitasahau wema wako tumefanya kazi muda mref ila polisi walinigeuza kama kitega uchumi + figisu kazi nliiona chungu all the same ukipatikana mchongo mwingine nipo tayar...wasalimie hao wazanaki.