Kila lakheri mkuu, sitasahau wema wako tumefanya kazi muda mref ila polisi walinigeuza kama kitega uchumi + figisu kazi nliiona chungu all the same ukipatikana mchongo mwingine nipo tayar...wasalimie hao wazanaki.Alishapatikana na alianza kazi Jana rasmi asanteni Sana