Eng Chingy
Member
- Dec 5, 2016
- 86
- 54
That joke 





kwamba ushawahi kukamilikiHahahah just a joke's mkuu,
Ila viben10 vinaraha yake jaman
Kumbe mariooFurssaaaa hii ngoja niwahii

Nakwambia subiri watoke kazini utakoma especially ile jinsia nyingine!Jaman ni utani tu, msimind tupo jf kwa ajili ya kurefresh mind nakufurah. Kuna watu naona povu linawatoka mmmh
haahaaa

shenz typeJust a joke's jaman huhuhuu


Jf raha sanaKhaaa hongera
"kijana mbichi",usijali chumvi ipoHahahah nimejikuta nimewaza hivyo tu, alafu mm bado kijana mbichiii
Hahahah sawa bebe umepitaHuwa nachukia sana kila fursa zinapotoka nachelewa kuziona aaaah... sasa mimi hata chooni nakupeleka kwa kukubeka na nakusubiria ukimaliza nakusafisha halafu nitakua sina wivu hata nikikufumania kitandani kwetu na njemba nitaliomba msamaha wa kulikata stimu na sikuombi mchezo hata kama ni mwaka mzima nitasubiri uamue wewe. nikubalie fasta kabla wazushi hawaja jaza inzi![]()