Natafuta kibarua (ke)

daringvoice

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
34
Reaction score
17
Habari zenu wapendwa,naimani mko salama

Natafuta kibarua Cha kufanya ,Kama Kuna mtu ambaye anata kuajili binti katika shuguri zake anitafute

Ni mwaminifu na ni mtulivu

Nafanya kazi yoyote isipokua ya bar au ndani ndo sita weza kufanya

Kwa maelezo zaidi karibu pm

Nipo mkoa wa Mwanza

Naomba anitafute mwenye shida ya mfanyakazi tofauti na hapo sitaki majaribu
 
Yesu mwenyewe alijaribiwa,afu we hutaki majaribu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…