Unaweza kufungua cafe ambayo utakuwa unaza coffee kwa bei ya chini tu, kuna warwanda wanauza cappuccino kwa Tsh 2000 na ni nzuri sana, Latte, Americano nk na bei haifiki hata 5000 na watu wananunua hasa mjini hakuna sehem hizo.
Unaweza kuweka biashara ya pweza na ngisi kama kipato chako ni kidogo na ukauza sana hasa ukiweka maeneo ya mjini maana hakuna zaidi ya hotelini au uende nje ya mji ndo utapata.
Biashara ya simu na vifaa vyake inalipa sana kwa mwanza, ikiwezekana tumia miezi hata 6 kajifundishe ufundi simu.
Fursa zipo nyingi tu tena sana.