Natafuta kibarua cha muda mfupi/Part time

Natafuta kibarua cha muda mfupi/Part time

kadurijr

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
23
Reaction score
19
Niko Arusha mjini
Umri miaka 24 mvulana
mwanafunzi wa chuo
kwa mwenye connection ya kibarua hapa mjini msaada tafadhali muda wangu ni kwanzia saa 10
 
Niko Arusha mjini
Umri miaka 24 mvulana
mwanafunzi wa chuo
kwa mwenye connection ya kibarua hapa mjini msaada tafadhali muda wangu ni kwanzia saa 10
Watakwambia maliza chuo kwanza... All in all! Kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom