Milale JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 494 Reaction score 189 Jul 9, 2014 #1 Habari ndugu zangu wa jforum mimi ni kijana mwenzen na sina ajira ila nina utalaam wa kutengeneza simu tatizo sina ofisi. Naomba mtu yeyeto mwenye kijisehem au banda ninaloweza kufanyia shughul zangu. Nitashukuru sana niko Dar
Habari ndugu zangu wa jforum mimi ni kijana mwenzen na sina ajira ila nina utalaam wa kutengeneza simu tatizo sina ofisi. Naomba mtu yeyeto mwenye kijisehem au banda ninaloweza kufanyia shughul zangu. Nitashukuru sana niko Dar