Natafuta Kazi

Sweet Mother

Member
Nov 3, 2010
19
1
Habari za jioni ndugu zangu,
Naombeni msaada wenu japo nipate link ya ajira
Kwa sasa ni mwajiriwa katika kampuni binafsi na ninafanya kazi kama mtakwimu (Researcher and data management)
Kifupi siridhiki na mahali nilipo ndo maana bado natoa macho,naombeni msaada wenu kwa mwenye link.
Niwatakie jioni njema
 

NAOMBAKAZI.COM
 
Watu wanataka nafasi kama hiyo usiku mchana kama haikufai tafuta toroli la maji uwe unaleta kwangu asubuhi na jioni..
 

Tuma application yako: tanhompowersys@gmail.com
 
Wabbi Duniani ingekuwa ukipata kazi ndio mwisho huwezi kuama basi ningesema point yako iko poa.
ila unajua watu huwa wanahama na kutafuta kazi wanapofanya wanakuwa na roho nyeupe bila kujuta na kila mtu upenda kupata mshahara mzuri wa kufaa mahitaji yake.

endelea kutafuta kazi una elimu yako usifutike moyo kabisa na majibu kama haya
 
Watu wanataka nafasi kama hiyo usiku mchana kama haikufai tafuta toroli la maji uwe unaleta kwangu asubuhi na jioni..

Si lazima ku-comment kama umeshiba maharage na una chupa kadhaa za ulanzi kichwani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…