Lugha mkuu, next time andika hivi
Habari zenu wana jf,Poleni kwa majukumu na jitihada zenu za kujenga taifa letu .
Mimi ni mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha primary and medium school;
Kama unakazi hiyo ama taarifa yoyote ya uhitaji wa kazi hiyo tafathari naomba unijurishe kupitia namba yangu hii -> 0762779059.