Natafuta kazi

Natafuta kazi

Thifor

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Ni mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha primary and medium school;
Kama unakazi hiyo ama taarifa yoyote ya uhitaji wa kazi hiyo nijulishe kwa 0762779059
 
Lugha mkuu, next time andika hivi

Habari zenu wana jf,Poleni kwa majukumu na jitihada zenu za kujenga taifa letu .

Mimi ni mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha primary and medium school;
Kama unakazi hiyo ama taarifa yoyote ya uhitaji wa kazi hiyo tafathari naomba unijurishe kupitia namba yangu hii -> 0762779059.
 
Hii ndio jf rekebisha tabia
 
Ni mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha primary and medium school;
Kama unakazi hiyo ama taarifa yoyote ya uhitaji wa kazi hiyo nijulishe kwa 0762779059

Kama hutojali ni pm tuzungumze.
 
Back
Top Bottom