Natafuta kazi

Natafuta kazi

Reene

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
30
Reaction score
13
HABAR WANA JF, mi ni msichana wa kitanzania nins umri wa miaka 28 nina shahada ya maendeleo ya jamii, ninatafuta kaz nimechokaa kuwa jobless, kazi yoyote mshara kuanzia laki tatu nipo tayar, maisha magumu jamani, iwe professional ama yoyote. li mrad nisifunje sheria za nchi.

serious person ani pm kwa mawasiliano zaid.
asante.
 
Kukosa kazi naona kumekupa stress hadi unaandika kiswahili kwa vionjo vya kwenu....
Kwenye kusoma kwako nadhani ulifanya mafunzo kwa njia ya vitendo, vipi ulikofanya kote hukuacha demarcation ili wakutafute katika kipindi cha mpito wakati ukisubiri ajira?
 
Wengine wanatafuta kazi, wengine wanatafutwa na wanaotafuta kazi.
 
Kukosa kazi naona kumekupa stress hadi unaandika kiswahili kwa vionjo vya kwenu....
Kwenye kusoma kwako nadhani ulifanya mafunzo kwa njia ya vitendo, vipi ulikofanya kote hukuacha demarcation ili wakutafute katika kipindi cha mpito wakati ukisubiri ajira?

Hahahaaa,mkuu umeanza kwa utani unaoumiza ila baadaye umemuuliza swali la maana....dah!
 
HABAR WANA JF, mi ni msichana wa kitanzania nins umri wa miaka 28 nina shahada ya maendeleo ya jamii, ninatafuta kaz nimechokaa kuwa jobless, kazi yoyote mshara kuanzia laki tatu nipo tayar, maisha magumu jamani, iwe professional ama yoyote. li mrad nisifunje sheria za nchi.

serious person ani pm kwa mawasiliano zaid.
asante.

nitafute 768577654
 
Back
Top Bottom